Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa zawadi kwa Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Korosho (KCJE Ltd) kama sehemu ya kuimarisha ushirikiano mzuri kati ya taasisi ya...
Katika hatua nyingine muhimu, kikao cha Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Korosho (KCJE Ltd) pia kiliambatana na zoezi la ugawaji wa vyeti kwa Vyama Wanachama vilivyokidhi masharti ya uanachama kwa...
Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Korosho (KCJE Ltd) umefanya kikao chake cha kwanza cha robo ya mwaka 2025/2026 kwa mafanikio makubwa, kikao ambacho kilifanyika katika Ukumbi wa Eden Hotel, Mtwara...
Katika kuadhimisha msimu wa sikukuu, kampuni ya ROTAI—ambayo ni miongoni mwa wazabuni wakubwa na wa kuaminika wa mizani za kidigitali nchini—imekabidhi zawadi maalumu za Krismasi na Mwaka Mpya (Merry...
KCJE inawatakia wa Tanzania wote heri ya sikukuu ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania...
Maafisa wa Ushirika kutoka Wizara ya Kilimo wametembelea Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho (KCJE Ltd) kwa lengo la kuangazia na kukagua mnyororo wa upokeaji na usambazaji wa...
Tarehe 20/11/2025, KCJE Ltd tumepokea ugeni kutoka CRDB Bank katika ziara maalum ya kuona shehena za viuatilifu na magunia yaliyowasilishwa na kampuni ambazo zimepatiwa mikopo na benki hiyo. Ziara...
Wajumbe wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika wa Korosho KCJE LTD Wafanya Ziara ya Mafunzo Tabora Wajumbe wa mradi wa vyama vikuu vya ushirika wa korosho kupitia KCJE LTD wametembelea...
- 1
- 2
