Wadau wa zao la Korosho nchini wametakiwa kuongeza kasi ya uzalishaji na kuimarisha ubora wa zao hilo ili kuiwezesha Tanzania kuwa mzalishaji namba moja wa…
Continue Reading....Category: blogs
KCJE YAPOKEA TANI 5,500 ZA SALFA KUPITIA BANDARI YA MTWARA
Kaimu Meneja Mkuu wa Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited, Spicener Rugalela, amesema taasisi hiyo imepokea shehena ya tani 5,500 za salfa ya unga katika…
Continue Reading....TANCCOOPS YAITEMBELEA KCJE, KUJIFUNZA UZOEFU WA KUHUDUMIA WAKULIMA
Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika vinavyolima zao la Pamba nchini (TANCCOOPS), ulifanya ziara mkoani Mtwara kwa lengo la kuitembelea Korosho Cooperative Joint…
Continue Reading....NAIBU WAZIRI WA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA KCJE NGONGO LINDI
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, alitembelea banda la Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kusini yaliyofanyika katika…
Continue Reading....MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MTWARA KCJE IMELETA MABADILIKO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA KOROSHO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Mwl. Saidi Nyengedi, ameipongeza Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kipindi…
Continue Reading....MWAIPAYA AIPONGEZA KCJE KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA KOROSHO
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, ameipongeza Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha sekta ya korosho nchini, akisema…
Continue Reading....VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UTAWALA BORA
Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kuzingatia misingi ya uongozi na utawala bora ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa…
Continue Reading....KCJE YAJIVUNIA MAFANIKIO YA KUONGEZA UZALISHAJI WA KOROSHO, YAWEKA MIKAKATI YA UWEKEZAJI
Ushirikiano wa Vyama Vikuu vya Ushirika vinavyounda Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited umeendelea kuimarisha sekta ya korosho nchini, huku hatua mbalimbali zilizochukuliwa katika usambazaji…
Continue Reading....KCJE YAWAJENGEA UWEZO WADAU, YASIFIWA KWA KUIMARISHA USHIRIKA NA TIJA KWA WAKULIMA
Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited imeendelea kupongezwa kwa juhudi zake za kuwajengea uwezo wadau wa sekta ya Ushirika, kupitia mafunzo yanayolenga kuongeza uelewa kuhusu…
Continue Reading....