Wadau wa zao la Korosho nchini wametakiwa kuongeza kasi ya uzalishaji na kuimarisha ubora wa zao hilo ili kuiwezesha Tanzania kuwa mzalishaji namba moja wa Korosho barani Afrika. Wito huo umetolewa na...
Kaimu Meneja Mkuu wa Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited, Spicener Rugalela, amesema taasisi hiyo imepokea shehena ya tani 5,500 za salfa ya unga katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya...
Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika vinavyolima zao la Pamba nchini (TANCCOOPS), ulifanya ziara mkoani Mtwara kwa lengo la kuitembelea Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited ili...
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, alitembelea banda la Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kusini yaliyofanyika katika Viwanja vya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Mwl. Saidi Nyengedi, ameipongeza Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kipindi cha miaka...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, ameipongeza Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha sekta ya korosho nchini, akisema...
Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kuzingatia misingi ya uongozi na utawala bora ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wanachama, hatua inayotazamiwa...
Ushirikiano wa Vyama Vikuu vya Ushirika vinavyounda Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited umeendelea kuimarisha sekta ya korosho nchini, huku hatua mbalimbali zilizochukuliwa katika...
Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited imeendelea kupongezwa kwa juhudi zake za kuwajengea uwezo wadau wa sekta ya Ushirika, kupitia mafunzo yanayolenga kuongeza uelewa kuhusu shughuli...
