Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika Ngongo Mkoani Lindi mwaka 2025 kanda ya Kusini Tanzania. KCJE Ltd Ilionesha bidhaa zake na Wageni mbali mbali walifika na kutembelea Banda la KCJE katika maeneo ya Ushirika (Kijiji cha Ushirika). Moja ya Wageni waliotembelea ni Pamoja na Mh. Victoria Mwanziva DC Lindi.