TANGAZO LA ZABUNI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

whatsapp image 2026 10 08 at 2.13.48 am

Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Cooperative Joint Enterprise Limited (KCJE Ltd), Odas Mpunga anatangaza zabuni Na. KCJE/2027/2028/G/02 kwa ajili ya ununuzi wa Pembejeo za Kilimo.

Waombaji wanatakiwa kuwasilisha zabuni zao katika Ofisi za KCJE zikiwa na nakala halisi moja (1) na kivuli mbili (2) pamoja na kulipa ada isiyorejeshwa ya Sh5 milioni kupitia akaunti ya KCJE iliyoandikwa kwenye tangazo.

Mwisho wa kutuma maombi hayo ni Oktoba 20, 2026 saa tano asubuhi.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *