Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, ameipongeza Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha sekta ya korosho nchini, akisema...
Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kuzingatia misingi ya uongozi na utawala bora ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wanachama, hatua inayotazamiwa...
Ushirikiano wa Vyama Vikuu vya Ushirika vinavyounda Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited umeendelea kuimarisha sekta ya korosho nchini, huku hatua mbalimbali zilizochukuliwa katika...
Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited imeendelea kupongezwa kwa juhudi zake za kuwajengea uwezo wadau wa sekta ya Ushirika, kupitia mafunzo yanayolenga kuongeza uelewa kuhusu shughuli...
Leo katika ofisi za KCJE Ltd, tumepokea wageni kutoka MAT Technology wakiambatana na TCDC kwa ajili ya kuwasilisha teknolojia ya kisasa ya matumizi ya drone (ndege nyuki) katika kilimo cha...
Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Korosho (KCJE Ltd) una jukumu muhimu la kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo na viuatilifu bora kwa ajili ya uzalishaji wa korosho kwa wakati muafaka. Katika kujiandaa...
Uongozi wa Korosho Cooperative Joint Enterprise Ltd (KCJE Ltd) unapenda kutoa salamu za Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa wanachama wote, wadau, washirika wa maendeleo, na watu wote kwa ujumla...
